AFANDE Sele Amrushia Dongo Kitila " Kitila Ulikuwa Unaongea Sana Kabla Hujakaribishwa Mezani"

Kupitia ukurasa wa Facebook Afande Sele ameandika haya:

"Hongera Profesa Kitila Japo Kwa Shingo Upande Lkn Kupitia Wewe Nimejifunza Maana Ya Kuweka Akiba Ya Maneno Ili Elimu na Uungwana VIthibitishe Umuhimu Wake Ulimwenguni....Dah''Kitila Alikuwa Anaongee Saaana Kabla Hajakaribishwa Mezani...Sasa Na Yeye Yupo Mezani Kapewa Madikodiko Anakula....Mila Za Kikwetu Zinakataza Mtu Kuongea Wkt Wa KULA....Nasubiri Kuona Kama Kitila Atakiuka Mila Hiyo Kwa Kuendelea Kuongea Wkt Wa Kula Au Nae Atafuata Mkumbo Kwa Kukaa Kimya.....Dunia RangiRangile...." Afande Sele
AFANDE Sele Amrushia Dongo Kitila " Kitila Ulikuwa Unaongea Sana Kabla Hujakaribishwa Mezani" AFANDE Sele Amrushia Dongo Kitila " Kitila Ulikuwa Unaongea Sana Kabla Hujakaribishwa Mezani" Reviewed by Linnah Lsquare on 4:04 AM Rating: 5
Powered by Blogger.