Hii ndio ahadi ya Madam Wema Sepetu kwa awatanzania

Tanzanian SweetieHeart Wema Sepetu amewataka watanzania ukaa mkao wa kula kwa kazi yake mpya

Hii ni kufuata mfukulizo wa post zake kuhusu ujio wake mpya wa kazi zake katika kuigiza, amewaasa wabongo kuwapa ushirikiano wa dhati kabisa kwani amedhamiria kuirudisha Bongo Movies katika kiwango cha enzi zile za Kanumba
Hii ndio ahadi ya Madam Wema Sepetu kwa awatanzania Hii ndio ahadi ya Madam Wema Sepetu kwa awatanzania Reviewed by Linnah Lsquare on 12:23 AM Rating: 5
Powered by Blogger.