MH.Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Leo amepokelewa kwa shangwe na mbwembwe Bungeni

Dodoma. Rais Mstaafu wa awamu ya nne  Jakaya Kikwete ameshangiliwa kwa muda wa zaidi ya dakika 10  mara baada ya kuingia bungeni leo asubuhi.

Spika wa Bunge Job Ndugai amesema haijawai kutokea mgeni kushangiliwa katika kipindi chake chote alichokuwepo bungeni.

Bunge limeanza leo mjini Dodoma.
MH.Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Leo amepokelewa kwa shangwe na mbwembwe Bungeni MH.Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Leo amepokelewa kwa shangwe na mbwembwe Bungeni Reviewed by Linnah Lsquare on 1:42 AM Rating: 5
Powered by Blogger.