Mwakyembe Amjibu Juma Nkamia Juu ya Yeye Kukaa Meza Moja na Roma Mkatoliki Siku Alipokutana na Waandishi wa Habari..!!! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Wednesday, April 12, 2017

Mwakyembe Amjibu Juma Nkamia Juu ya Yeye Kukaa Meza Moja na Roma Mkatoliki Siku Alipokutana na Waandishi wa Habari..!!!

Mwakyembe: Idara ya Habari Maelezo iko ndani ya Wizara yangu, ofisi yangu iko pale, mimi nimefuata mtu au amekuja ofisini kwangu.
Mwakyembe: Roma alivyopotea ndugu zake walikua wananipigia mimi simu na sio Nkamia huyu kijana aliyetekwa ameniomba mimi nimsaidie'

Mwakyembe: Mheshimiwa Nkamia unashangaa mimi kukaa na hawa vijana, unataka ukae naye wewe'

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers