Mwakyembe, Nassari Wavurugana Bungeni Kisa Swala la Paul MaKonda

Ilikuwa ni mtifuano wa kurushiana maneno kati ya Mbubge Joshua Nassari na waziri wa habari dr Mwakyembe akimhoji kwanini swala la Richmond wakati akiwa mwenyekiti wa kamati ya uchunguzi hakumhoji waziri mkuu kipindi hicho na akasimama kutoa hukumu bungeni lakini kwa swala la Bashite anadai hakuhojiwa na uchunguzi haujakamilika.

Ndipo kulizuka mtutano wa kutupiana maneno huku Mwakyembe akidai swala la Richmond hakukuwa na haja ya kumhoji kwa kuwa riport ilikuwa na ushahidi wa kujitosheleza ila kwa makonda ni ushabiki tu na hakuna ushahidi wa kujitosheleza
Mwakyembe, Nassari Wavurugana Bungeni Kisa Swala la Paul MaKonda Mwakyembe, Nassari Wavurugana Bungeni Kisa Swala la Paul MaKonda Reviewed by Linnah Lsquare on 12:30 AM Rating: 5
Powered by Blogger.