Serikali Yatoa Ajira Mpya 3,081 za Walimu

Serikali imeajiri walimu wapya 3,081 na watatakiwa kuripoti kuanzia Aprili 18, 2017. Bado kuna nafasi za walimu 1,048 zilizotolewa kibali cha ajira.

Waziri wa TAMISEMI, George Simbachawene amesema kuna upungufu wa walimu 26,026 wa masomo ya sayansi na hisabati na kuna ziada ya walimu 7,463 wa masomo ya sanaa.
Serikali Yatoa Ajira Mpya 3,081 za Walimu Serikali Yatoa Ajira Mpya 3,081 za Walimu Reviewed by Linnah Lsquare on 4:33 AM Rating: 5
Powered by Blogger.