VIDEO LIVE: Msanii Roma Mkatoliki, Waziri Mwakyembe wanazungumza na waandishi....Roma Atema Cheche

Siku kadhaa zilizopita msanii wa Bongofleva Roma Mkatoliki na wenzake watatu walipotea katika mazingira ya kutatanisha ambapo baada ya kurudi uraiani waliahidi kuzungumza siku ya Jumatatu kuhusu tukio hilo. Leo Waziri wa habari utamaduni sanaa na michezo Dkt. Harrison Mwakyembe leo akiwa na Roma Mkatoliki na wenzake wanazungumza na waandishi, Bonyeza play hapa chini kutazama LIVE
VIDEO LIVE: Msanii Roma Mkatoliki, Waziri Mwakyembe wanazungumza na waandishi....Roma Atema Cheche VIDEO LIVE: Msanii Roma Mkatoliki, Waziri Mwakyembe wanazungumza na waandishi....Roma Atema Cheche Reviewed by Linnah Lsquare on 6:34 AM Rating: 5
Powered by Blogger.