VIDEO:P Funk akimpa lie bila chenga Master Jay Kwa Kumdiss Harmorapa, Asema Hatakiwi Aongee Chochote

Producer mkongwe P Funk amemjibu Master Jay baada ya kusema msanii wake hana kipaji, Majani amesema Master Jay hatakiwi aongee kwa kuwa alikuwa akimletea wasanii wabovu na P funk kuwapotezea akitolea mfano wa msanii Ndugu Sulukuchu asiyejua hata kuongea kiswahili na John walker ambaye alikuwa ana kipaji cha kuigiza ulevi na sio kuimba
Amesema Harmorapa ni zaidi ya mwanamuziki kwani pia ni mburudishaji, na kusema hata Juma Nature alikuwa akipondwa alivyomchukua lakini akaja kuwa msanii mkubwa
VIDEO:P Funk akimpa lie bila chenga Master Jay Kwa Kumdiss Harmorapa, Asema Hatakiwi Aongee Chochote VIDEO:P Funk akimpa lie bila chenga  Master Jay Kwa Kumdiss Harmorapa, Asema Hatakiwi Aongee Chochote Reviewed by Linnah Lsquare on 2:37 AM Rating: 5
Powered by Blogger.