Yusuph Mlela Atoboa Siri Kali Kuhusu Msanii Nay wa Mitego.....Angalia video hapa | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Friday, April 28, 2017

Yusuph Mlela Atoboa Siri Kali Kuhusu Msanii Nay wa Mitego.....Angalia video hapa

aada ya mama ya mtoto wake kutokea mitandaoni na kueleza Nay hashughuliki na mtoto wake na ila anatafuta kiki naye, muigizaji mkali Yusuph Mlela pia amejitokeza kukashifu Nay wa Mitego.


Akizungumza na global TV alieleza ya kwamba Nay wa Mitego alikuwemo Chokoraa miaka iliyopita na kuna mambo mbalimbali ya aibu iliyotokea wakati humo ambayo utayapata kwenye hii video:

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers