DIAMOND NDIO HABARI YA JIJI LA NAIROBI NOW...CHEKI PART TWO YA INTERVIEW YAKE NA KISS TV NA WAANDISHI WA MAGAZETI...! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Saturday, January 25, 2014

DIAMOND NDIO HABARI YA JIJI LA NAIROBI NOW...CHEKI PART TWO YA INTERVIEW YAKE NA KISS TV NA WAANDISHI WA MAGAZETI...!


 Hii ni sehemu ya pili,ya mahojiano na media mbali mbali
Hapa Nairobi,baada ya kufanya mahojiano na
 Tuva wa Mambo mseto..nilifanya mahojiano na

Kiss Tv kisha nikafanya na waandishi kutoka vyombo vingine  vya habari waliokuwa wakinisubiri nje...

kama ilivyokuwa kwenye mambo mseto...kikubwa
 walitaka kufahamu kuhusu mipango yangu ya baadae
kimziki,collabos,na maisha yangu..
 Director wa kipindi,Kiss Tv akiniwekea Mike
 Mahojiano na Kiss Tv yakaanza Waandishi kutoka vyombo vingine vya habari wakinisubiri
 Mahojiano yakaanza na wwaandishi wamajarida  na magazetigoogle+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers