STORY YA MAPENZI YA KUSISIMUA!!!!!


Story ya kugusa Moyo

Msichana na mvulana wamekaa peke yao kwenye garden moja mjini usiku.

Mvulana:nafikiri sisi tuna mkosi katika dunia hii tumeachwa nyuma sana...

Msichana:Ninafikiri hivyo...marafiki zangu wote wana-Boyfriends...sisi peke yetu tumebaki tusio kuwa na wapenzi...

Mvulana:Yah Mimi hata sijui nini cha kufanya...

Msichana:Mimi najua..tutacheza mchezo fulani hivi.....

Mvulana:Mchezo gani?

Msichana:Nitakuwa Girlfriend wako kwa siku 30,nawe utakuwa boyfriend wangu.

Mvulana:Mpango mzuri in fact sina vitu vingu vya kufanya mwezi huu....

Walikubaliana kucheza huu mchezo....

SIKU YA KWANZA:
waliangalia filamu pamoja kwa mara ya kwanza..na wote waliguswa na hiyo romantic movie...
SIKU YA NNE:
Walienda beach pamoja they had picnic together...they had a quality time together.
SIKU YA KUMI NA MBILI:
Mvulana alimwalika msichana kwenye maonyesho ya sarakasi,they ride on a horror house...girl was scared and she touched someone else's hand and they both laughed...
SIKU YA KUMI NA TANO
Wakati wakitembea pamoja barabarani Walimuona bibi anayeelezea bahati za watu ..wakamuomba awaelezee future yao pamoja..Bibi akawaambia "wajukuu zangu msipoteze muda wa Maisha yenu...tumieni maisha yenu mkiwa pamoja"..Machozi yakamtoka huyu bibi.
SIKU YA ISHIRINI:
Msichana alimwalika mvulana katika kilima na wakiwa pamoja waliona kimondo angani...Girl mumbled something.....
SIKU YA ISHIRINI NA NANE:
Wakiwa kwenye basi pamoja na kwa sababu ya ubovu wa barabara msichana alimpiga kiss mvulana kwa bahati mbaya.....
SIKU YA ISHIRINI NA TISA:SAA TANO NA DAKIKA AROBAINI USIKU;
Msichna na mvulana wamekaa katika ile bustani walipopangia kucheza huu mchezo.....

Mvulana:Nimechoka...unahitaji kinywaji chochote?..naenda upande wa pili wa barabara nitakununulia juice.
Msichana:Naomba niletee juice ya Apple.
Mvulana:okey nisubiri basi nakuja nayo sasa hivi....

dakika ishirini baadae Mtu mgeni anakuja mbele ya yule Msichana...

Stranger:Wewe ni rafiki wa yule mvulana?
Msichana:Ndiyo,kwani kimetokea nini?
Stranger:Dereva mmoja mlevi kamgonga na gari yupo hospitali ana hali mbaya....

SAA TANO NA DAKIKA HAMSINI NA SABA USIKU:
Daktari alitoka nje ya ICU akiwa ameshika juice ya apple na na barua ....

DAKTARI:Tumeviona hivi kwenye mfuko wa mvulana>>>

Msichana alisoma barua na ilisomeka hivi;
kwa hizi siku chache tulizocheza huu mchezo,nimegundua kuwa wewe ni msichana mrembo na you know how to care..i really falling for you...your cherish smile your everything when we played this game....kabla mchezo huu haujaisha ninahitaji uwe mpenzi wangu for the rest of my life...I LOVE YOU....

Msichana akakunja karatasi ya barua kwa uchungu aka-shout "i dont want you to die..i love you..kumbuka usiku ule tulipoona kimondo angani and i mumbled something that i wish we would be together forever and never end this game.Please don't leave me"..I LOVE YOU...you cannot leave me in this way..

THEN THE CLOCK STRIKES 12..
Boy's heart start pumping.....

THEN IT WAS THE 30TH DAY OF THEIR GAME!!!!!!
STORY YA MAPENZI YA KUSISIMUA!!!!! STORY YA MAPENZI YA KUSISIMUA!!!!! Reviewed by Linnah Lsquare on 10:26 AM Rating: 5
Powered by Blogger.